
3) Isabel Jose Dos Santos wa Angola ana dola za kimarekani milioni 170, ni mke wa milionea wa kikongo Sindika Dokolo, na pia ni mtoto wa rais Dos santos, ana tanesco yake, benki mbili, kampuni za mafuta na biashara nyingine.

5) Mamphela Ramphele wa Afrika Kusini, ana umri wa miaka 65, yuko kwenye biashara ya madini pia katika kampuni iliyotoa ajira za wafanyakazi elfu 45, mkwanja alionao ni dola za kimarekani milioni 90.

6) Irene Charnley wa Afrika Kusini, ana umri wa miaka 52, alishawahi kuwa director wa kampuni ya simu za mkononi ya MTN South Africa, lakini kabla alishawahi kuwa director wa FirstRand Bank na Smile Telecoms.

7) Pam Golding wa South Africa, ni mwanzilishi wa kampuni ya kuuza na kupangisha majumba ya kifahari katika kisiwa cha Mauritas na afrika kusini. Alianza biashara yake mwaka 1976, anamiliki dola za kimarekani milioni 86.

9) Msouth Africa Elisabeth Bradley ana dola za kimarekani milioni 32, ni mwenyekiti wa Wesco Investments Limited, pia ni makamu wa rais wa kampuni ya magari ya Toyota South Africa na Director wa AngloGold. (shavu la stori kutoka kwa 8020fashions.blogspot.com, stori kamili imeandaliwa na Jarida la Forbes)
SOURCE: millardayo.com
0 comments:
Post a Comment