Friday, November 15, 2013

HII NDIO LIST MPYA YA MATAJIRI AFRIKA. WATANZANIA WAPO WANNE. ICHEKI HAPA




Mtandao wa Forbes maarufu kwa kutoa taarifa kama hizi, umetoa list mpya ya matajiri 50 kutoka Africa na kuhusisha vyanzo vya pesa zao, umri wao pamoja na kiasi cha pesa wanachomiliki.
1
List imeongozwa na Mnigeria Aliko Dangote (kwenye picha hapo juu) na mtanzania wa kwanza ameonekana kwenye namba 27 akiwa na utajiri wa dola bilioni moja. Cheki list yote hapa.
Watanzania hawa wanne ni Rostam Aziz kwenye namba 27, Reginald Mengi namba 34, Bakhresa namba 38 na Mohammed Dewji namba 38.



2
3
4
5

2 comments:

Yusufu said...

Yaani Moise Katumbi wa Drcongo/lubumbashi hayupo?

Unknown said...

Je unapenda habari za udaku na skendo za mjini??? checki hapa habari za udaku

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine