Monday, February 6, 2012

KANISA LA BAPTIST CHURCH LASEMA MTOTO WA BEYONCE ( IVVY BLUE) NI SHETANI.!!


Ukistaajabu ya Musa basi ujue utayaona ya filauni!! Kama unavyoona bango lililo hapo juu limewekwa na kanisa moja huko North Carolina wakimtuhumu Beyonce na mumewe Jay Z kuwa mtoto wao waliomzaa ni uzao wa freemason kwa wapendanao hao wanatuhumiwa kuwa na ushirika na imani hiyo yenye mlengwa wa kushoto huku wakisema kuwa hata jina
la mtoto huyo lina mahusiano na imani hiyo,lakini hadi kufikia sasa hakuna kauli yenye kukanusha kutoka kwa wawili hao.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine