Sunday, February 5, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AZINDUA TAASISI YA UTAFITI WA MARADHI YA MALARIA, BAGAMOYO

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati) akikata utepe kuzindua Kituo cha Taasisi ya utafiti wa maradhi ya Malaria kilichopo Bagamoyo, wakati alipokuwa katika ziara yake ya Wilaya ya Bagamoyo, mkoa wa Pwani juzi Februari 03, 2012.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine