skip to main |
skip to sidebar

2/07/2012 07:07:00 AM

Unknown
No comments
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wawakilishi wa kundi moja la wachuuzi (Machinga) wa jijini Mwanza ambao leo Februari 6, 2012 walikwenda Ikulu ndogo ya jiji hilo na kumweleza changamoto zinazowakabiri, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa mitaji pamoja na taaluma ya kufanyia biashara. Rais Kikwete ametoa shilingi milioni 10 kwa ajili ya Wamachinga hao kukopeshana mitaji.
0 comments:
Post a Comment