MSANII wa filamu ambaye kwa sasa anatikisa katika anga la muziki wa
bongofleva, Zuwena Mohammed 'Shilole' jumatatu ya keshokutwa anatarajia
kuachia singo yake mpoya inayokwenda kwa jina la 'Viuno kwa Viuno'.
Shilole ameiambia mamapipiro blog kwamba katika singo hiyo amewashirikisha wasanii Kitokololo wa FM Academia na Rich Mavoko.
Singo hiyo itakuwa ya tatu kwa msanii huyo ambaye awali aliachia Lawama na Dume Dada.
CHANZO CHA HABARI : www.mamapipiro.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment