Akiwa anamiliki magari mengine ya kutembelea kijana Diamond ameamua kuongeza usafiri mwingine na sasa ni kama unavyoina Prado hiyo ndio kwanza imeingia hata zile nembo za T,,,D,,,bado hazijawekwa ambapo hapo zimemtoka zaidi ya Milioni 60 hadi kuipata,!
0 comments:
Post a Comment