Monday, June 25, 2012

JERRY SANDUSKY AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA.



Kocha wa football ya Marekani Jerry Sandusky amepatikana na hatia ya kulawiti watoto na huenda akamaliza maisha yake yote yaliyosalia jela.Kocha huyo msaidizi wa zamani wa timu ya jimbo la Pennsylvania amepatikana na hatia ya makosa 45 kati ya 48 yanayowahusu wavulana 10 katika kipindi cha miaka 15.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine