skip to main |
skip to sidebar

7/26/2012 07:43:00 AM

Unknown
No comments
KAMANDA WA POLISI MKOA WA ARUSHA ( ACP) LIBERATUS SABAS AKIWA NA MKUU
WA KITENGO CHA POLISI JAMII MKOA WA ARUSHA (SP) MARY LUGOLA PAMOJA NA
WADAU WA POLISI JAMII KUTOKA KUSHOTO MWENYE KIBARAGHASHIA NDG.FAISAL
SHAHBHAI NA NDG. RICHARD MASSAWE WAKIWA WAMESHIKA
KOMBE LA POLISI JAMII KWA PAMOJA KUASHIRIA USHIRIKIANO KATI YA JESHI
LA POLISI NA JAMII.MICHUANO HIYO YA POLISI JAMII CUP KWA MKOA HUU
INATARAJIWA KUANZA LEO TAREHE 26/07/2012 KATIKA NGAZI YA KATA.
0 comments:
Post a Comment