Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wakuu wa
Vyombo vya Ulinzi na Usalama, wakati alipowasili kwenye uwanja wa Mnazi
Mmoja jijini Dar es Salaam leo Julai 25, 2012 kwa ajili ya kuhudhuria
sherehe za maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa. Picha zote na
Muhidin Sufiani-OMR.
Kutoka
(kushoto) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.
Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu
wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd, Rais Mstaafu wa awamu ya
pili, Ali Hassan Mwinyi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu
Ameir Kificho, ........ na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,
Shamsi Vuai Nahodha, wakiwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja wakihudhuria
sherehe za maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, akiwasili
kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo, Julai 25, 2012
kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa.
Kutoka
(kushoto) Rais Dk. Jakaya Kikwete, Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange,
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu wa pili wa Rais
wa Zanzibar, Balozi Seif Idd, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan
Mwinyi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir
Kificho....., Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai
Nahodha na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Said Meck Sadiq, wakiwa katika
viwanja vya Mnazi Mmoja wakihudhuria sherehe za maadhimisho ya siku ya
kumbukumbu ya Mashujaa
Rais
Dk. Jakaya Kikwete, akiweka Ngao na Mkuki kwenye Mnara wa Mashujaa,
wakati wa maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa, iliyofanyika
kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. Jakaya Kikwete, akisalimiana na baadhi ya wazee waliopigana
vita mbalimbali vya ukombozi wa nchi ya Tanzania, waliohudhuria katika
maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa, iliyofanyika kwenye
Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya wazee waliopigana vita mbalimbali vya
ukombozi wa nchi ya Tanzania, waliohudhuria katika maadhimisho ya siku
ya kumbukumbu ya Mashujaa, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya wazee waliopigana vita mbalimbali vya
ukombozi wa nchi ya Tanzania, waliohudhuria katika maadhimisho ya siku
ya kumbukumbu ya Mashujaa, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment