Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akimuapisha Rashid Seif Suleiman kuwa Waziri wa Miundombinu na
Mawasiliano. Hafla hiyo ilifanyika ikulu mjini Zanzibar.
Rashid
Seif Suleiman,Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano,(kulia)
akibadilishana mawazo na Sheikh Daudi Khamis Salim Kadhi wa Rufaa
Pemba,kabla ya kula kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar Na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar
Pichani Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar,
Rashid Seif Suleiman, baada ya kula kiapo.
0 comments:
Post a Comment