STAA wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha (pichani) amesababisha msala baada ya kushikwa kalio mbele ya meneja wake, Mercey Kayuni
Mpekuzi wetu alilinasa tukio hilo lililojiri wikiendi iliyopita kwenye Baa ya Uhuru Peak, Kinondoni, Dar.
Wakati Baby akiwa amepozi na meneja wake huyo wakibadilishana mawazo, ghafla njemba moja ilikatiza jirani na staa huyo kisha kujifanya kumfahamu na kupitisha mkono kisha kumshika shika makalio yake , jambo lililosababisha mshikemshike wa vita ya maneno hadi walipotulizwa.
Hata hivyo suala hilo limezua maswali mengi miongoni mwa walioshuhudia sakata hilo huku wengi wakidai kuwa Kujilegeza, na kuvaa kihasara ndiko kulikopelekea kushikwa shikwa makalio yake.
"Wamezidi kututega wash***** hao. Hii ndo dawa yao"....Alisikika mtu mmoja akiongea
Chanzo:- http://freebongo.blogspot.com/
0 comments:
Post a Comment