Tuesday, August 14, 2012

Stay Tuned Kwa Ngoma Mpya ya Profesa Jay-Hello



Miezi minane baada ya kushusha pini lenye warembo kibao kwenye video yake, iliyoonekana kuwa tofauti kabisa na video kibao tulizozizoea kutoka kwa Prof Jay (kamili gado), sasa he is ready kuachia mkono mwingine kutoka Dhahabu Rec, uliosukwa na Dully Sykes na mixing kufanywa na  Mbezi. ngoma hiyo inaitwa Hellow, inatarajiwa kuanza kusikika kwenye maskio yako kuanzia siku ya juma tano ya wiki hii.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine