sipendi uchonganishi jamani??
huyu dada alishaniomba msamaha na mimi na yeye tunaongea vizuri,,kama
mtu anawashwa na yake kupitia funny blogs tafuten la kuandika,,wale
mliokuwa mnaniongelea kwa Agnes kaniambia
yote nawaangalia tu, mimi simjui Agnes ila nikiona mtu kafanya makosa
namsahihisha ndo mana alikuja kuniomba msamaha na sina kinyongo naye
nimemsamehe sasa maneno mengine mnayatoa wapi? kama mtu ana picha zangu
za ngono zitoeni jamani kwanini mnanitishia??haaaaa nimeshatoka huko
kitambooo sana lolest,,labda mtengeneze na za kutengeneza tunazijua
hivihivi mtasubiri sana tena sana ninajiamini 100%Agnes alinieleza mkanda mzima wa yaliyomtokea na nikaona wasichana wanadhalilishwa sana ktkana na pombe jamani
yale maisha ya twendeni tukamnywe mbona yamepita? so msiendelezee
maneno yenu ya ajabu mimi na Agnes tunaongea tena siku ile ile ndo maana
nilifuta posts na nimemsema sana nadhani ameanza kunisikiliza na
akinisikiliza atafika mbali maana ni binti mzuri so mnaopenda watu wagombane poyeeeeeee,, mmeshushukaje??tafuteni mwingine kwangu ni fulllll stooooooop,,Agnes
nakwambia hapa mbele ya watu huna marafiki ni wanafiki wao ndio
wamenitumia video kwa mda wako uje nikuonyeshe waumbuke na munch status
zako zote walituma ONYOUWE
NA HUBBY WAKO US SIJUI UK NA NCHI NYINGINE USIPIGE PICHA ZA UCHI
UKAMTUMIA WANAUME SI WATU NA KWANZA SIKU HIZI MAISHA YA KUAMINIANA YAPO
WAPI?
0 comments:
Post a Comment