Warembo
Redds Miss Mwanza 2012/13 wameanza rasmi kambi yao katika Hoteli ya
Isamilo Lodge, ambapo warembo 18 kutoka wilaya zote za Mkoa wa Mwanza,
watashiriki shindano hilo, linalotarajiwa kufanyika ijumaa tarehe
31/08/2012 katika uwanja wa Mwanza Yatch Club jijini Mwanza.


8/24/2012 10:01:00 PM
Unknown
0 comments:
Post a Comment