BASI
LA KAMPUNI YA DAR EXPRESS LIKIUNGUA MOTO MAENEO YA SEGERA MKOANI TANGA
MUDA MFUPI ULIOPITA, BASI HILO LILIKUA LINATOKA ARUSHA KWENDA DAR ,
HATA HIVYO HAKUNA ABIRIA ALIYERIPOTIWA JUERUHIWA AU KUPOTEZA MAISHA
KATIKA AJALI HIYO TAARIFA ZAIDI TUNAZIFUATILIA
CHANZO CHA HABARI: www.fullshangwe.blogspot.com


10/02/2012 06:18:00 PM
Unknown

0 comments:
Post a Comment