Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Afrika, Christopher
Katongo, ambaye pia ni nahodha wa timu ya taifa ya Zambia (kushoto), akiwa na
baadhi ya wachezaji wa timu hiyo, walipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salaam, tayari kwa mchezo wa
kirafiki dhidi ya Taifa
Stars, utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Desema 22. (Picha na Habari Mseto Blog)
Wachezaji wa timu ya taifa ya Zambi wakiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
0 comments:
Post a Comment