Kocha wa Barcelona Tito Vilanova
anajiandaa kuachia ngazi kutoka kwenye nafasi yake ya ukocha wa Barca
baada ya kurudia kuugua ugonjwa uliokuwa unamsumbua wa tezi kwenye mdomo
ambalo alifanyiwa upasuaji mwaka uliopita.
Kocha huyo mwenye miaka 44 alifanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe/tezi hilo mwezi November 2011 wakati alipokuwa kocha msaidizi wa klabu hiyo.
Alichukua majukumu ya kuwa kocha mkuu wa Barcelona baada ya Pep Guardiola kuachia ngazi na Vilanova akasaini mkataba wa miaka miwili.

0 comments:
Post a Comment