Tuesday, June 4, 2013

HAPPINESS MAGESE AITIMU CHUO CHA FILAMU MJINI NEW YORK


Mis Tanzania mwaka 2001,Happiness magese ambae kwa
kipindi kirefu amekuwa nje ya Tanzania
akifanya shuguli za uwanamitindo leo baada ya muda mrefu kuwa kimya aliamua kushare na fans wake kupitia mtandao wake wa Instagram kuwajuza kile kilichokuwa kinamfanya akae nchini marekani kwa muda
Hapiness amejifunza vitu vingi sana kuhusu Filamu na kuhitimu katika chuo cha
NEW YORK FILM ACADEMY....KUPITIA MTANDAO
WA INSTAGRAM ALIANDIKA HIVI;

 

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine