Tuesday, July 23, 2013

NISHA JABU AFUTURISHA

Wageni waalikwa wakipata futari nyumbani kwa msanii Nisha Jabu.
Msanii Yusuf Mlela (kushoto) akichukua msosi pamoja na wageni wengine.
Mtangazaji wa Star Tv, Sauda Mwilima (kulia) akijisevia futari na wenzake.
Jacqueline Wolper akijisevia.
...Akimimina chai.
Nisha akiandaa mazingira kwa ajili ya wageni wake kufuturu.
Nisha (kushoto) akifurahia jambo na Sauda.
Wastara Juma (kushoto) akipozi na mwenzake wakati wa futari hiyo.
...Wastara (kushoto) akihojiwa na Sauda Mwilima (kati).
Wageni wakizidi kupata futari.
STAA wa filamu za Kibongo, Salma Jabu 'Nisha' jana amefuturisha nyumbani kwake Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Mastaa mbalimbali wa filamu walihudhuria katika futari hiyo.
(PICHA NA GLADNESS MALLY / GPL)

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine