Sunday, September 8, 2013

PICHA MBALIMBALI ZA SHOO YA SERENGETI, VODACOM NA JAHAZI USIKU WA LEO DAR LIVE!


    Khadija Yusuf akijinafasi stejini.
    Jukwaa likiwa juu wakati Leila Rashid akiwapa raha mashabiki.
   Mzee Yusuf (kushoto) akiwa na Dude 'Yahaya' wakiimba kwa pamoja.
   Mzee Yusuf akiendelea kuzikonga nyoyo za mashabiki waliofurika Dar Live.
   Mcharaza gitaa wa Jahazi,  Musa Musa akiwa kazini. Pembeni ni mabango ya wadhamini.
    Wanamuziki wa Jahazi wakiimba kwa pamoja.
    Leila Rashid akiwapagawisha mashabiki.
    Baadhi ya wasanii walioshiriki  filamu ya mzee yusuf wakiwa jukwaani kusalimia mashabiki wakati wa uzinduzi wake.
   Baadhi ya mashabiki waliofurika wakiserebuka kwa raha zao..
    Mzee Yusuf akiserebuka na mpiga gitaa wa bendi hiyo, Mauji.
   Mashabiki wafurika vilivyo..
BENDI ya Jahazi Modern Taarab usiku wa kuamkia leo imefunika vilivyo katika onyesho lao la nguvu lililofanyika ndani ya Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.
Shoo kali kutoka kwa Mzee Yusuf na kundi lake ilizikonga nyoyo za mashabiki na kuwaacha roho safi. Shoo hii ililetwa kwenu kwa udhamin mnono wa Vodacom na bia ya Serengeti Premium Lager.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine