Friday, October 11, 2013

HAYA NDIO MAMBO 10 YA KUFANYA KABLA HUJATIMIZA UMRI WA MIAKA 25.


1. Jifunze kuweka akiba ya fedha na iache bila kuigusa gusa.
2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye, panga maisha.
3. Ishi mahali pa peke yako, acha kuishi kwenye nyumba au kupanga na washkaji.
4. Lipa madeni yako ya zamani. Yote!
5. Tengeneza mwili ambao unataka halafu jitahidi ku-umantain! Anza kuzingatia kuishi kwa kujali afya yako sana.
6. Jitahidi uwe na marafiki ambao wana changamoto za kimaendeleo zitakazokusaidia.
7. Anza kujinunulia assets kama ardhi na nyinginezo.
8. Jifunze kuvaa vizuri na kwa heshima, si tu ilimradi umependeza.
9. Kubali sasa kwamba umekua na acha tabia na mambo ya kitoto
10. Yaache ya zamani yapite na anza mapya. Mwajuma huna mpango naye, achana naye. Acha kurudi rudi nyuma
!

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine