Friday, July 22, 2011

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA AJALI YA HOOD.

BASI LA KAMPUNI YA HOOD LIKIONEKANA LIKIWA LIMETEKETEA KABISA.AJILI HIYO ILITOKEA MAENENO YA MIKUMI HUKO MOROGORO. GARI HILO LA HOOD LILIKUWA LINA TOKA MBEYA LINAKWENDA DAR ES SALAAM, NA LORI HILO LILIKUWA LINA TOKA MORO NA KUELEKEA MBEYA.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine