Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo (pichani) amesimaishwa kazi! Akiongea na waandishi wa habari mjini Dodoma mapema jana, Katibu Mkuu Kiongozi, Philomon Luhanjo, alisema kuwa Jairo amesimamishwa kazi kuanzia kesho ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili zilizotolewa bungeni.
0 comments:
Post a Comment