WAREMBO wanaotarajiwa kushiriki shindano la kumsaka Miss Ilala linarotarajiwa kufanyika Julai 29 mwaka huu, leo wamepima virusi vya Ukimwi katika ofisi za AMREF zilizopo Makao Makuu ya Chama cha Msalaba Mwekundu nchini Upanga jijini Dar es Salaam.
Thursday, July 21, 2011
WAREMBO WA MISS ILALA WAPIMA UKIMWI.
7/21/2011 07:21:00 AM
Unknown
No comments
0 comments:
Post a Comment