skip to main |
skip to sidebar

10/29/2011 10:00:00 AM

Unknown
No comments
Baada ya kutangaza kuwa wameachana siku chache zilizopita,wasanii Diamond na Wema sepetu inasemekana kuwa wamerudiana,hii ni baada ya media mbalimbali kulipoti habari leo hii kutoka kwa watu wa karibu wa wawili hao kwamba wako pamoja.
0 comments:
Post a Comment