skip to main |
skip to sidebar

11/07/2011 04:31:00 PM

Unknown
No comments
HIVI NDIVYO MABESTE ANAVYOKUJA KIVINGINE NA P UNITY.
Msanii anayetamba na ngoma yake kali inayofahamika kwa jina la baadae sana,Mabeste mapema amefunguka kuwa ana mpango wa kuifanyia remix ngoma yake hiyo huku akinadi kuwashirikisha wakali wa kalee kutoka nchini Kenya hapa nikiwazungumzia P Unity.Remix ya ngoma hiyo ya Mabeste imepangwa kufanyika chini ya studio ya B Hits chini ya producer Pancho na Hermy B.
0 comments:
Post a Comment