Monday, March 5, 2012

MANCHESTER UNITED YAIRARUA TOTTENHAM

Timu ya manchester united hapo jana ilithihirisha inauchu wa kuchua kikombe cha ligi ya uwingereza kwa kutandika tottenham bao 3 kwa 1.  Ingawa MANCHESTER UNITED ilikuwa ugenini kwenye uwanja wa White Hart Laneilicheza mchezo wa kuvutia na wa kuburudisha. Mabao ya MASHETANI WEKUNDU yalipachikwa na WYNE ROONEY pamoja nae ASHLEY YOUNG.


Kwa ushindi huo MANCHESTER UNITED imefikisha pointi 64 njuma ya majirani zao kwa pointi 2

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine