skip to main |
skip to sidebar

3/05/2012 07:58:00 AM

Unknown
No comments
Mashabiki wa wekundu wa msimbazi wakishangilia kwa furaha baada ya felix sunzu kupachika bao la pili hiyo jana katika uwanja wa TAIFA jijini DAR ES SALAAM. Mabao yoyote mawili yaliwekwa kambani na mshambuliaji hatari wa SIMBA FELIX SUNZU akipata pasi safi kutoka kwa EMMANUEL OKWI.
0 comments:
Post a Comment