Wengi
tunamfahamu kwa kazi zake mzuri za music kutoka pale
Nigeria,anajulikana kama 2 Face Idibia ambaye aling'ara kwenye ile ngoma
ya one 8 ya mwanamuziki R kelly ameamua rasmi kuachana na tabaka la
ubachela na kufunga pingu za maisha. Ndoa hiyo iliyofungwa siku ya
ijumaa ya wiki iliyopita mwanamuziki huyo aliweza kumvalisha rasmi pete
ya uchumba aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu na mama wa mtoto wake
mmoja Bi. Anna Macaulay ikifuatiwa na hafla kubwa iliyofanyika nyumbani
kwake, Wanandoa hao tayari wana mtoto mmoja wa kike anayeitwa Isabella.
0 comments:
Post a Comment