Mwanadadiva Rihanna a.k.a Riri "Where have you been" singer, juzi
Jumatatu alipelekwa hospitalini ghafla baada ya kupata “Flu” kali sana
pamoja na mwili kuwa na uchovu kutokana na bata analokula kila siku,
Rihanna alipofikishwa hospitali awekewa na drip ya maji baada ya
kugundulika kuwa hana maji mwilini ambako kunasababishwa pia na kutopata
muda wa kupumzika.
Riri alitweet picha ya mkono wake ukiwa na drip, rafiki zake kwenye
tweet walishangaa niaje mbona Rihanna atweet kwa muda mrefu coz kila
minute counts Riri amezoeleka anatweet kitu. Mwaka jana alipelewa tena
hospitali akiwa katikati ya tour yake.
0 comments:
Post a Comment