Saturday, May 5, 2012

KIVUMBI CHA WATANI WA JADI "FUNGA PAZIA" KESHO PALE UWANJA WA TAIFA NA VIINGILIO

Kiingilio cha chini katika mchezo huo kinatarajiwa kuwa sh.5,000 kwa watakaokaa jukwaa la kijani bluu, wakati kiingilio cha juu kitakuwa shilingi 40,000 kitakachohusisha mashabiki watakaokaa jukwaa la VIP A.
Mashabiki watakaokaa VIP B watalipa sh.30,000, VIP C shilingi 20,000 huku watakaokaa jukwaa la orange watalipa shilingi 10,000.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine