Jeneza lililohidhadhi mwili wa marehemu Rachel Mwiligwa katika kanisa la Anglikana ubunguo ambapo ilifanyika misa ya kumuaga mchana wa leo kabla ya kwenda kupumzishwa katika makaburi ya familia nyumbani kwao Goba nje ya jiji la dar es Salaam. Marehemu ambatye alikuwa mhariri wa michezo wa fgazeti la Mtanzania alifariki usiku wa kuamkia Ijumaa katika hospitali ya Mwananyamala lipolazwa kwa siku kadhaa akisumbuliwa na nimonia. Mwenyezi mungu mungu ailaze roho ya marehermu pema peponi, Amin.
Askofu wa kanisa la Anglicana Ubungo akiendesha misa ya marehemu Rachel Baadhi ya waombolezaji Wazazi wa marehemu Rachel Wabunge Idd Azan (CCM) na John Myika pia walijitokeza kwenye kuaga mwili wa Rachel Mamapipiro pia nilihudhuria tukio hilo wazazi wa marehemu wakiingia kanisani Katibu Msaidizi wa TASWA, George John akitoa neno la mwisho kuhusiana na marehemu Rachel ambaye alikuwa mwanachama. Mwenyekiti wa kamati ya mazishi, Angela Msangi akitoa neno la shukrani Mhariri wa gazeti la Mtanzania Kulwa Karedia akisoma wasifu wa marehemu Msanii Mrisho Mpoto pia alihudhuria, lakini hapa akiwa amezungukwa na wanafunzi wakimtaka awape mistari live ya nyimbo zake Dina Ismail, Mwani Nyangasa na Grace Hoka Wanakamati Angela Msangi na Mwani Nyangassa wakijadiliana jambo Gari lilobeba mwili wa Rachel Mkurugenzi wa Extra Bongo Ali Choki pamoja na wasamnii wengine wa bendi hiyo nao walihudhuria. Mbunge wa Kinondoni, Idi Azan akihesabu fedha kwa ajili ya mchango wake huku mwenyekiti wa kamati ya mazishi, Angela Msangi akishuhudia na msanii wa maigizo Mchezaji wa zamani wa Simba na timu ya Taifa Madaraka Suleiman 'Mzee wa Kiminyio' naye alihudhuria hapa tukipata ukumbusho na mhariri kiongozi wa magazeti ya Championi, Saleh Ally mwenye shati la drafti na rafiki wa Babu Madaraka
0 comments:
Post a Comment