MISS Tanzania 2000 Jacquiline Ntuyabaliwe amefanikiwa kujifungua salama watoto mapacha wa kiume.
Habari zilizopatikana jijini zinaeleza kwamba mrembo huyo pamona na watoto wake hao hali zao zinaendelea vema.
Pamoja
na urembo, Jacquiline pia amekuwa akijihusisha masuala ya muziki wa
bongo fleva akijulikana kama K'Lyn ambapo aliwahi kutoa nyimbo kadhaa
zilizoweza kufanya vema katika medani hiyo kabla ya kuachana nao na
kuamua kuwa mjasiriamali.
Sports
Lady Blog inampongeza K_lyn kwa kuingia katika ulimwengu wa wazazi na
tunakutakia afya njema na malezi mema ya watoto wako wapya.
0 comments:
Post a Comment