Wednesday, July 13, 2011

WEMA AFUNGUKA KUHUSU UMRI WAKE.

Wema Isaac Sepetu amebumburua siri yake mwenyewe ya kuidanganya Kamati ya Miss Tanzania juu ya umri wake aliposhiriki shindano hilo mwaka 2006 na kuibuka mshindi, Risasi Mchanganyiko lina uchanganuzi kamili.

Akizungumza na kituo kimoja cha redio jijini Dar es Salaam hivi karibuni alipojipeleka kujisafisha skendo zake za kila siku, Wema alidai kuwa mwezi huu ndiyo anatimiza miaka 22 hivyo kuibua mjadala kwamba alishiriki Miss Tanzania akiwa na umri chini ya miaka 18, jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi na shindano lenyewe kwani alikuwa mtoto

1 comments:

Yodenet said...

achukuliwe hatua za kisheria..

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine