Thursday, December 1, 2011

BABA WA MLELLA AZIKWA MAKABURI YA KINONDONI

Jeneza la mwili wa marehemu  Mlella.

Mjane ambaye ni mama wa Mlella

HUZUNI ilitawala makaburi ya Kinondoni jana jioni wakati wa mazishi ya baba mzazi wa mcheza sinema za Bongo, Yusuf Mlella, aitwaye Godfrey Williard Mlella,  aliyefariki Novemba 28, mwaka huu jijini Dar es Salaam.  Mtandao wa Habarizaudaku ulikuwepo kukuletea picha na matukio yaliyojiri makaburini hapo.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine