Thursday, December 1, 2011

YANGA YAANZA KUJIFUA KWA LIGI KUU


BAADA ya Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa kwanza kusimama, hatimaye Yanga imeanza tena mazoezi kujiandaa na mzunguko wa pili. Yafuatayo ni baadhi ya matukio yaliyonaswa kwenye mazoezi ya timu hiyo  huko Masaki jijini Dar, leo.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine