Thursday, December 1, 2011

COUNTDOWN DIRISHA DOGO LA USAJILI BONGO:

SIMBA SPORTS CLUB

WALIOSAJILIWA NI:
DERRICK WALUYA.

KWA MKOPO:
BEKI WA PEMBENI SALUM KANONI - AMEKWENDA MORO UTD
KIUNGO SHIJA MKINA- AMEKWENDA KAGERA SUGAR
KIUNGO AMRI KIEMBA -AMEKWENDA POLISI DODOMA.

AFRICAN LYON

 

WALIONGIA:

SAMUEL NGASA-HURU
JUSTUS ANENE-kutoka URA ya Uganda
Mbera Mike- Lugazi Utd ya Uganda
Erick Majaliwa- kutoka JKT RUVU
Mohamed Hamad-kutoka Mwanza Utd
Obinna Mustafa- Kutoka Ocean View ya Zanzibar.

WALIOTOKA

Shabani Aboma-ameachwa
John Njama -amekwenda Police Central ya Dar Es Salaam
Bakari Nzige- Polisi Dodoma.

 VILLA SQUAD 

 

WALIOINGIA 

 LEON KIMATHI-HURU
ALLY MANZI- HURU
SELEMAN MSENGI- HURU
GERALD LUKINDO- HURU
KHATIB KUDUKU- HURU
SIXBERT MOHAMED- HURU
MARTIN LUPART- HURU
JOSEPH MUHANDI- KUTOKA AZAM
FRED COSMAS -KUTOKA AZAM
DAUD GABRIEL- KUTOKA AZAM
IBRAHIM RAJAB 'JEBA' -KUTOKA AZAM.


 

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine