skip to main |
skip to sidebar

12/01/2011 04:53:00 PM

Unknown
No comments
Rais Jakaya Kikwete akipongezwa leo na Rais Mstaafu wa Marekani, Mh George W. Bush kwa sera nzuri za serikali yake kuhusu huduma za afya nchini hasa hasa juhudi zinazofanyika kudhibiti malaria, ukimwi na saratani Ikulu jijini Dar es salaam leo.
0 comments:
Post a Comment