skip to main |
skip to sidebar

1/12/2012 06:11:00 PM

Unknown
No comments
Akiwa anaonekana kufanya vizuri kwa kipindi chote toka ameanza kusikika kwa mara ya kwanza kwenye tasnia ya muziki wa kizazi kipya,msanii Diamond ameweka wazi nia yake ya kutaka kufanya kazi na wasanii wa kimataifa kutoka nchi za nje ikiwemo Marekani,Kenya,Niigeria na nyinginezo huku akimtaja J Martin kutoka kule nchini Nigeria kuwa ndiye atakayekuwa msanii wa kwanza wa kimataifa atakayefanya nae kazi.Pia alibainisha kuwa kazi hiyo ataenda kuifanyia nchini Nigeria siku chache zijazo na itakuwa kama zawadi kwa mashabiki wa muziki wake,Akiwa anahojiwa na Dartalk msanii huy pia alisema hakutaka kushirikisha wasanii wengine kwenye nyimbo zake zilizopita ili aweze kuonesha uwezo wake kwa mashabiki wake hivyo ndio maana aliamua kusimama mwenyewe.Haya sisi twaingoja kazi hiyo,nkiwa kama mmoja w mashabiki wa kazi zako.
0 comments:
Post a Comment