Tuesday, February 28, 2012

TUPO LIKIZO....... SISI NI WAFANYAKAZI WA SERILKALI COMED!

 

Huwezi amini comedi mpaka kwa mkuu wa kazi na hata ofisini... David Seki ambaye ni mtu mkubwa na Producer kwenye The Original Commedy Crew na ndio Msemaji mkuu amefunguka kama ifuatavyo... Baada ya stori kuenea kwamba kundi limekufa na mkataba ume KUSH NEH Seki amesema “Actually hivyo vitu ni mazungumzo tu ya watu, mambo yetu sisi huwa hatupendi kuyazungumza hadharani, watu wako likizo baada ya muda watarudi hewani, ukienda kwenye website yetu huwa tunaandika kila kinachoendelea, hizo taarifa hazina ukweli wowote” Hata hivyo kwenye website yao, kuna tangazo linasema Orijino Komedi na timu nzima itakua likizo kwa mwezi january 2012 tu, baada ya hapo watarudi kazini. 
Lakini huu ni mwezi wa pili inakuaje?

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine