Thursday, August 30, 2012

BREAKING NEWS: HAWA NGULUME MWANASIASA MKONGWE AFARIKI DUNIA



 
Hawa Ngulume afariki dunia Mwanasiasa mkongwe aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya za Kinondoni, Mbarali na Bagamoyo, Mama Hawa Ngulume amefariki dunia leo asubuhi Jijini Dar es Salaam kwani Mama Hawa Ngulume alikuwa akisumbuliwa na kansa kwa muda mrefu.....Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema peponi, Amina.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine