Muonekano wa mbele wa hekalu la Mchungaji Rwakatare
MC na mchungaji Haris Kapiga wa Clouds FM
Mc Harris Kapiga akiwa kazini.
Watu wakijiachia
Kabati la vyombo
Akiwa katika ofisi yake ya nyumbani, kuna sehemu ya kufanyia mikutano, Salon, Studio, na sehemu ya mazoezi.
Wadau wakijiachia kwenye moja wapo ya kochi la kifahari mjengoni humo
Wakati wa msosi
Mambo ya dressing table
Kitanda chake cha kulalia
---
Mchungaji Getrude
Rwakatare amehamia rasmi katika nyumba yake mpya iliyoko Mbezi Beach
jijini Dar es Salaam pembezoni mwa bahari ya Hindi. Inaripotiwa kuwa
waumini wa kanisa lake wapatao 300 walifika mahali hapo kwa kushuhudia
nyumba yake hiyo ya kifahari.
Kabla
ya kuhamia kwenye hekalu lake jipya Mch. Mh. Getrude Pangalile
Rwakatare alikuwa akiishi Mikocheni B katika nyumba nyingine ya kifahari
pia.
0 comments:
Post a Comment