Think you've got what it takes to be Maisha
Plus latest, greatest reality star? Well nafasi ya mwisho ya kuaudition kwa
ajili ya kushiriki shindano hili itafanyika jijini Dar es Salaam siku ya
Jumatatu, Septemba 24 pale Millenium Tower, Kijitonyama.
Wale waliochukua fomu na ambao bado
hawajachukua, wafike Millenium Tower ghorofa ya kwanza waulizie KP Shop.
Kwa wale wenye ndoto ya kushiriki katika
shindano hili mwaka huu, Jumatatu ndio itakuwa siku ya mwisho kujaribu bahati
yao kwani ukiikosa itabidi usubiri mpaka mwakani.
0 comments:
Post a Comment