DIAMOND
PLATNUMZ leo amefunguka kuhusu demu anaetajwa kuwa anamahusiano nae kwa
sasa, akiwa live ndani ya XXL YA CLOUDS FM diamond amesema hana
mahusiano yoyote na demu huyo na wala hafikilii huko anachowaza yeye
sahizi ni kazi zake na muziki maisha na familia yake kwa ujumla,
kuendelea kukanusha zaidi madai hayo DIAMOND amesema sio kwamba yote
yanayoandikwa ni ukwel na sio kwamba kila kitu anachoambiwa kafanya
inakuwa kweli kafanya sometmz inatokea sababu yeye ni kioo cha jamii
anawindwaa na mapaparazi,, na kuhusu picha zinazovuma mtandaoni za yeye
na msichana huyo kwa madai yake kasema pic hizo zilipigwa akiwa
anatengeneza filam na msichana huyo hakuna ukwel wowote kuhusu uhusiano
huo, alipo ulizwa hiyo filam inaitwaje na imeshutiwa na kampuni gani
maswali hbaya yalikosa jibu sasa hatujui kama anadanganya au lah. sasa
kama si kweli je anatumia kigezo hicho ili kukuza jina la huyo msichana?
au watu wanaotoa taarifa hzo wananini nyuma ya pazia ambacho watanzania
hawakijui? imekuwa fashion bongo mtu kuonekana yupo na mahusiano na
fulani akishapata jina wanajifanya kama wameachana, sasa bado hatujajua
kama wanamahusiano kweli au uongo maana diamond kakanusha na watanzania
wamemsikia,, all in all kila mtu anamaisha yake kama kweli kila lakheri
na kama si kweli basi mungu amjalie apate yule aaaaaanaempenda, |
0 comments:
Post a Comment