Mmoja wa aliyeokolewa ambaye alitambulika kwa jina moja la Clementina akisaidiwa na baadhi ya askari.Taarifa zilizopatikana kutoka kwa majirani zinasema kuwa jengo hilo lilikuwa halina sifa ya kukaa mtu maana lilishapigwa marufuku kuendelea kujengwa.
Waandishi wetu walipofika eneo la tukio walishuhudia watu wakihangaika kutafuta waliokuwa wameangukiwa na jengo hilo.
(Picha/Habari: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging)
CHANZO CHA HABARI : www.globalpublishers.info


2/18/2013 07:35:00 PM
Unknown




0 comments:
Post a Comment