skip to main |
skip to sidebar
6/11/2013 10:28:00 AM
Unknown
No comments
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mhariori wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa
New Habari (2006) Ltd, AbsalomKibanda, wakati alipofika Ofisini kwa
Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, jana Juni 10, 2013 kwa mazungumzo.
Kibanda alimtembelea Mhe. Makamu ili kumwelezea hali yake kiafya
inavyoendelea baada ya matibabu.
0 comments:
Post a Comment