Mbunge
CCM Al-Shaymaa Kwegyir akichangia ambapo aliitaka Jamii kumlea vizuri
na kimaadili Mtoto wa Kike kwani mtoto wa kike akilelewa vyema ndio
nguzo ya familia Kimaadili na wakati sahihi wa kumjenga kama nguzo ni
kuanzia utotoni.
Katibu
Mkuu wa Jumuia na Taasisi za Kiislam Sheikh Ramadhan Sanze akitoa
ufafanuzi kwa Waandishi wa Habari juu ya Changamoto na Maendeleo Mbali
Mbali Jamii ya Kiislamu ya Tanzania hasa wanawake inayopiga wakati wa
Kongamano.
Wanataaluma
Wa Kiislam wakifuatilia kwa Makini Mada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
iliyowasilishwa na Sheikh Suleiman Amran Kilemile wakati wa Kongamano la
Kukaribisha Mwezi wa Ramadhan.
Wanataaluma
Mbali mbali wa Kiislamu wakimsikiliza kwa makini Ustaadh Bakari Kombo
Bakari kutoka Zanzibar alipokuwa akiongelea nafasi ya Muislam Mwanamke
Wakati wa mtume Muhammad (SAW), Kabla yake na Mazingira ya Mwanamke leo.
Washindi
wa zawadi za Utendaji uliotukuka 1434 kutoka kwa Wanataaluma wa Kiislam
Tanzania wakati wa Picha ya Pamoja na Wenyeviti wa Umoja wa Wanazuoni
wa Kiislam Shk Kilemile pamoja na Rais wa Wanataaluma Waislam Bro. Mussa
Mziya. Kutoka Kushoto ni Mussa Mziya (TAMPRO), Sheikh Arif (Islamic
Foundation), Sheikh Mohamed Said (Independent Author), Sheikh Ramadhan
Sanze (Baraza Kuu), Sheikh Suleiman Kilemile (Hay’at), Sheikh Jabir
Katura (Msikiti Mkuu Mwanza) na Hajat Aisha Sururu (Aisha Sururu
Foundation).
Bi.
Riziki shahari akimkabidhi Bi Aisha Sururu zawadi pamoja na pesa
kuwakilisha wanawake wanaojituma kusukuma mbele mambo ya Kijamii na
kutunza Maadili Bora kwenye Umma.
Picha zote na Mtaa kwa mtaa Blog
0 comments:
Post a Comment