Tuesday, September 10, 2013

BAADA YA KANGA MOKO NDEMBE NDEMBE SASA HIVI NI MWENDO WA T SHIRT NDEMBWE NDEMBWE...!!



KWA muda mrefu, zilisikika sauti za kupiga vita makundi ya wanawake yaliyosifika kwa kucheza utupu kwa kulowanisha khanga maji maarufu kama Khanga Moko Ndembendembe lakini sasa imeibuka nyingine, inayoitwa
Fulana au Tisheti Ndembendembe Uchunguzi wetu wa miezi kadhaa tangu mwaka jana ulibaini kwamba tayari staili hiyo ya uchezaji wa muziki wa mwambao kwa kulowanisha tisheti laini nyeupe kwa maji na kusababisha chuchu kuonekana sawia, inazidi kushika kasi kama moto wa kifuu Bongo.
Ilibainika kuwa staili hiyo ambayo ilianzia Pwani ya Kenya, sasa inatumiwa kudhalilisha warembo Uswahilini hasa kwenye ngoma maarufu za ‘kigodoro’ ambazo huchezwa bila kujali rika mbalimbali zinazokuwa zimechanganyikana. Habari zilisema kuwa katika uchezaji huo, sharti ‘nido’ ya mrembo iwe saa sita ili kuwavutia na kuwaridhisha wanaume kimahaba ambao kazi yao huwa ni kuwatuza fedha baada ya kufurahishwa kwa kutazama uchezaji huo na wengine kuondoka nao kwenda kuvunja amri ya sita.
Ilifahamika kuwa staili hiyo imewavutia wengi na vikundi vya uchezaji huo vimeanza kuundwa japo havijapata umaarufu mkubwa.
Mamlaka na wizara husika zinatakiwa kukemea kwa nguvu zote kwani huo ni mwanzo mwingine wa mmomonyoko wa maadili ya Kitanzania na ongezeko la maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU).
BAADA YA KANGA MOKO NDEMBE
NDEMBE SASA HIVI NI MWENDO
WA T SHIRT NDEMBWE
NDEMBWE...!!
 KWA muda mrefu, zilisikika sauti za kupiga
vita makundi ya wanawake yaliyosifika kwa
kucheza utupu kwa kulowanisha khanga maji
maarufu kama Khanga Moko Ndembendembe
lakini sasa imeibuka nyingine, inayoitwa
Fulana au Tisheti Ndembendembe
Uchunguzi wetu wa miezi kadhaa tangu mwaka
jana ulibaini kwamba tayari staili hiyo ya
uchezaji wa muziki wa mwambao kwa
kulowanisha tisheti laini nyeupe kwa maji na
kusababisha chuchu kuonekana sawia, inazidi
kushika kasi kama moto wa kifuu Bongo.
Ilibainika kuwa staili hiyo ambayo ilianzia
Pwani ya Kenya, sasa inatumiwa kudhalilisha
warembo Uswahilini hasa kwenye ngoma
maarufu za ‘kigodoro’ ambazo huchezwa bila
kujali rika mbalimbali zinazokuwa
zimechanganyikana. Habari zilisema kuwa
katika uchezaji huo, sharti ‘nido’ ya mrembo
iwe saa sita ili kuwavutia na kuwaridhisha
wanaume kimahaba ambao kazi yao huwa ni
kuwatuza fedha baada ya kufurahishwa kwa
kutazama uchezaji huo na wengine kuondoka
nao kwenda kuvunja amri ya sita.
Ilifahamika kuwa staili hiyo imewavutia wengi
na vikundi vya uchezaji huo vimeanza
kuundwa japo havijapata umaarufu mkubwa.
Mamlaka na wizara husika zinatakiwa kukemea
kwa nguvu zote kwani huo ni mwanzo
mwingine wa mmomonyoko wa maadili ya
Kitanzania na ongezeko la maambukizi mapya
ya Virusi vya Ukimwi (VVU).

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine