Tuesday, September 10, 2013

MUIGIZAJI WA PRISON BREAK 'MICHAEL SCOFIELD' ATHIBITISHA KUWA YEYE NI SHOGA.

 MUIGIZAJI WA PRISON BREAK
'MICHAEL SCOFIELD' ATHIBITISHA
KUWA YEYE NI SHOGA
Wentworth Miller
maarufu kama Michael Scofield.
STAA wa Filamu ya Prison Break, Wentworth
Miller maarufu kama Michael Scofield,
amethibitisha kuwa yeye ni shoga.
Wentworth Miller amethibitisha hilo wakati
akijibu barua ya mwaliko kutoka nchini Urusi
alipoalikwa kwenye tamasha la filamu.
Akimwandikia barua Maria Averbakh, ambaye
ni Mkurugenzi wa St. Petersburg International
Film Festival, Scofield alikuwa na haya ya
kusema: "Asante kwa mwaliko wenu wa
upendo.
"Kwa mtu ambaye nimewahi kutembelea
Urusi katika siku za nyuma na kufurahia
asili ya nchi hiyo, ningeweza kukubali
mwaliko huu.
Lakini kwa kuwa nashiriki katika
mahusiano ya jinsia moja (Ushoga), lazima
nionyeshe kutoridhika na hali hii.
Nasikitishwa sana na jinsi watu wanaojihusisha
na mapenzi ya jinsia moja wanaume kwa
wanawake wanavyonyanyaswa na serikali ya
Urusi.
"Hali hii haikubaliki, na mimi siwezi
kushiriki katika tamasha la nchi ambapo
watu kama mimi wananyimwa haki yao ya
msingi ya kuishi na upendo waziwazi."
"Kama hali hii ikiboreshwa, nitakuwa
tayari kubadili maamuzi yangu ".
Alieleza katika barua hiyo iliyowekwa katika
tovuti ya GLAAD.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 

Wentworth Miller maarufu kama "Michael Scofield"STAA wa Filamu ya Prison Break, Wentworth amethibitisha kuwa yeye ni shoga.
Wentworth Miller amethibitisha hilo wakati akijibu barua ya mwaliko kutoka nchini Urusi alipoalikwa kwenye tamasha la filamu.
Akimwandikia barua Maria Averbakh, ambaye ni Mkurugenzi wa St. Petersburg International Film Festival, Scofield alikuwa na haya ya kusema: "Asante kwa mwaliko wenu wa upendo.

 
"Kwa mtu ambaye nimewahi kutembelea Urusi katika siku za nyuma na kufurahia asili ya nchi hiyo, ningeweza kukubali mwaliko huu.
Lakini kwa kuwa nashiriki katika mahusiano ya jinsia moja (Ushoga), lazima nionyeshe kutoridhika na hali hii.
Nasikitishwa sana na jinsi watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja wanaume kwa wanawake wanavyonyanyaswa na serikali ya Urusi.
"Hali hii haikubaliki, na mimi siwezi kushiriki katika tamasha la nchi ambapo watu kama mimi wananyimwa haki yao ya msingi ya kuishi na upendo waziwazi."
"Kama hali hii ikiboreshwa, nitakuwa tayari kubadili maamuzi yangu ".
Alieleza katika barua hiyo iliyowekwa katika tovuti ya GLAAD.

0 comments:

Post a Comment

 
Design by Uplink Servers Technology | Bloggerized by Kwetu Bongo Online Magazine